Pata viungo vya Miongozo, Jedwali la Maamuzi, Nyenzo za Mafunzo, Zana, Taarifa, Habari, Chambuzi, Ripoti na Machapisho hapa.
| Jina La Rasilimali | Jina La Taasisi | Maelezo | Chanzo |
|---|---|---|---|
|
Biashara ya Fedha Imeelezwa
|
International Trade Centre | Ufadhii wa biashara ni ufadhili wa bidhaa au huduma katika biashara au shughuli fulani, kutoka kwa msambazaji hadi kwa mnunuzi wa mwisho. Inachangia asilimia 3 ya biashara ya kimataifa, yenye thamani ya dola za kimarekani trilioni 3 kila mwaka. |
| Jina La Rasilimali | Jina La Taasisi | Maelezo | Chanzo |
|---|---|---|---|
|
Nyaraka/Hati zinazohitajika kwa watoa huduma za kifedha na wawekezaji
|
Kituo cha biashara cha kimataifa (ITC) | Watoa huduma wote, waendeshaji wa shughuli za ufadhili na wawekezaji wanahitajika kukusanya angalau seti ifuatayo ya maelezo ya msingi kuhusu waombaji, au wanufaika wanaopata ufadhili wa Euro au Dola za kimarekani zaidi ya 2500 kwa mwaka: |
|
|
Vifupisho na faharasa
|
Kituo cha biashara cha kimataifa (ITC) | Orodha ya vifupisho |
|
|
Sura ya 1: Utangulizi wa Mwongozo
|
Kituo cha biashara cha kimataifa (ITC) | Tahadhari/Hatua za kuchukua mahali pa kazi dhidi ya Uviko na Huduma za kifedha/Ufadhili |
|
|
Sura ya 2: Machaguo ya huduma za kifedha & Vigezo/Masharti yanayohitajika kustahiki kupata huduma
|
Hatua ya 1: Onyesha/Eleza pesa zinahitajika kwa matumizi gani na ni kiasi gani cha pesa unachohitaji Hatua ya 2: Jua ni taarifa gani za biashara na binafsi zinazohitajika Hatua ya 3: Chagua watoa huduma wawili au watatu ambao wanaweza kukidhi mahitaji yako |
||
|
Sura ya 3: Athari za biashara za aina tofuati tofauti ya mikopo/ufadhili
|
Kituo cha biashara cha kimataifa (ITC) | 3.1 Vikundi vya kijamii vinavyotoa mikopo midogo midogo 3.2 Vifaa vya muda mfupi, usafirishaji wa awali, oda au ufadhili wa mtaji wa kufanya biashara 3.3 Mikopo ya muda kupitia benki na watoa huduma toka taasisi zisizo benki 3.4 Machaguo ya ufadhili/huduma za kifedha ya muda mfupi ya ugavi ya kibenki na yasiyo ya kibenki 3.5 Masuala muhimu ya udhibiti wa mkopo wa biashara kwa mabenki 3.6 "Dhamana" ni nini na athari zake ni zipi kwenye biashara yako 3.7 Ukadiriaji wa mali: biashara na mtazamo wa wakopeshaji 3.8 "Mapatano" ni nini na yanaathiri vipi biashara yako? |
|
|
Sura ya 4: Kusimamia mahusiano ya Wakopeshaji na Wawekezaji
|
Kituo cha biashara cha kimataifa (ITC) | 4.1 Mwonekano wa biashara na mawasiliano 4.2 Utendaji wa mkopo na kanuni za mawasiliano na ripoti 4.3 Marejeleo/Kumbukumbu na maoni ya wateja |
|
|
Sura ya 5: Kuandaa maombi ya kupata mkopo
|
Kituo cha biashara cha kimataifa (ITC) | 5.1 Nini cha kuboresha kabla ya kuandaa mpango wa biashara 5.2 Tathmini ya hatari: udhaifu wa ugavi, uendelevu & uthabiti 5.3 Mipango na hatua za ustahimilivu na mwendelezo wa biashara 5.4 Uhalisi wa bidhaa na huduma, ufuatiliaji, ubora na uzingatiaji wa lebo/chapa 5.5 Kuandaa mpango halisi wa biashara 5.6 Masoko, ukuaji wa biashara na makadirio ya mapato na marejeleo/kumbukumbu 5.7 Hitilafu za kawaida na mambo yanayosababisha kukatliwa kwa maombi 5.8 Uwekaji tarakimu, na athari kwa chaguzi za ufadhili/huduma za kifedha |
|
|
Sura ya 6: Kufanya kazi na watoa huduma wa maendeleo ya biashara/wafadhili
|
Kituo cha biashara cha kimataifa (ITC) | 6.1 Nini cha kutayarisha kabla ya kuwasiliana na watoa huduma wa maendeleo ya biashara/wafadhili (BDS) 6.2 Aina za huduma za maendeleo ya biashara na taasisi za usaidizi wa biashara |
|
|
Sura ya 7: Tahadhari/Hatua za kuchukua mahali pa kazi dhidi ya Uviko na Huduma za kifedha/Ufadhili
|
Kituo cha biashara cha kimataifa (ITC) |
| Jina La Rasilimali | Jina La Taasisi | Maelezo | Chanzo |
|---|---|---|---|
|
Jinsi ya kutumia mwongozo huu
|
Kituo cha biashara cha kimataifa (ITC) | Mwongozo wa haraka wa marejeleo/kumbukumbu na jedwali la maamuzi katika kuchagua aina ya ufadhili/huduma ya kifedha kwa wafanyabiashara wadogo na wa kati ulioandaliwa na kituo cha biashara cha kimataifa (ITC) chini ya mradi wa MARKUP wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, unaofadhiliwa na Umoja wa Ulaya (EU). |
| Jina La Rasilimali | Jina La Taasisi | Maelezo | Chanzo |
|---|---|---|---|
|
The art of market facilitation: learning from the financial sector deepening network
|
FSD Africa | Uwezeshaji wa soko (M4P) ni mbinu ya kukuza mabadiliko ya kimfumo-mabadiliko ambayo huenda zaidi ya mtu mmoja mmoja na ambayo yanafaa kwa mazingira mapana, yanayoathiri wengi. Ukuzaji wa mifumo ya soko inahitaji kwamba mashirika/taasisi yawe/zihusike na jukumu la kuwezesha ukuaji huo. Wakiwa nje ya mfumo wa soko, wawezeshaji hufanya kazi na watu tofauti tofauti waliopo ndani ya mfumo, ili kuufanya mfumo ufanye kazi kwa ufanisi zaidi. Jukumu lao muhimu ni kuuisha na kuchochea, kuwawezesha wengine kufanya badala ya kufanya wao wenyewe-kuchochea mabadiliko katika mfumo wa soko bila kuwa sehemu yake. |
|
|
Ufadhili kwa bunifu za Afrika kwenye kukabiliana na mabadiliko ya hali hewa
|
FSD Africa | Bara la Afrika linatoa fursa kubwa ya uwekezaji kwa wawekezaji ili kuendeleza ufumbuzi juu ya mabadiliko ya hali ya hewa katika muongo ujao, ingawaje, orodha ya vikwazo/ugumu wa kupata huduma/ufadhili wa kifedha umekwamisha uwekezaji unaohitajika hadi sasa. Katika ripoti hii mpya, kwa kushirikisha Ufadhili wa bunifu za Afrika kwenye kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa na mpango wa sera ya hali ya hewa, tunatoa mfumo wa jinsi ubunifu katika miundo ya huduma za kifedha/ufadhili unavyoweza kuimarisha uwekaji wa kimkakati wa mtaji wa umma ili kukusanya uwekezaji binafsi katika viwango ambavyo bado havijaonekana/havijafikiwa. |
|
|
Tathmini ya mipango ya kukuza ujuzi wa sekta mbalimbali katika Jumuiya ya Afrika Mashariki na Zambia
|
FSD Africa | Mradi huu: Unabainisha pengo la ujuzi, mahitaji ya mafunzo na mipango iliyopo ya kukuza ujuzi katika sekta mbalimbali kati ya watoa huduma za kifedha katika Afrika Mashariki; Unabainisha mipango iliyopo ya kukuza ujuzi wa sekta mbalimbali katika masoko ya kimataifa; Hutengeneza suluhisho zinazowezekana za ukuzaji wa ujuzi wa sekta mbalimbali kwa sekta ya huduma za kifedha katika Afrika Mashariki. |
| Jina La Rasilimali | Jina La Taasisi | Maelezo | Chanzo |
|---|---|---|---|
|
ITC SME Trade Academy (Elimu Mtandaoni)
|
Kituo cha biashara cha kimataifa (ITC) | Majukwaa ya mtandaoni ya ITC (E-learning & SME Trade Academy) hutoa mafunzo ya vitendo, ufundi stadi mtandaoni kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo na wa kati na pia kwa washauri wa biashara katika sekta ya umma na binafsi kwa lugha nyingi tofauti. |
| Jina La Rasilimali | Jina La Taasisi | Maelezo | Chanzo |
|---|---|---|---|
|
Markup - Summary of Smart Financing for Business Growth
|
Markup II | This course is designed for startups and small and medium-sized enterprises (SMEs) seeking to strengthen their financial capabilities and prepare to engage financiers and investors. |