Please ensure Javascript is enabled for purposes of website accessibility

Usajili wa mtumiaji

Unapobofya "tengeneza akaunti" utapokea fomu ya kuingiza namba ya uthibitisho ya usalama ya mara moja. Jaza kwenye fomu hii namba utayopokea kwenye simu yako au barua pepe.

Kuweka namba ya uthibitisho hufungua fomu unayoweza kutuambia kuhusu wasifu, shirika au biashara yako. Kwa mtumiaji wa mara moja unaweza kuruka fomu hii baada ya kujaza mistari miwili ya mwanzo.

Taarifa kwenye wasifu wako zitatumika kutuma maboresho ya taarifa, matukio na rasilimali zinazolingana na wasifu wako. Taarifa iliyotolewa itasaidia miradi ya maendeleo ya ITC, na pia itasaidia watoa huduma za fedha na usaidizi wa maendeleo ya kibiashara kubadili huduma zao ili ziendane vizuri na mahitaji yako

Jisajili

Mfumo(Financing Gateway) hutumia neno la siri la mara moja ili kuthibitisha utambulisho wako na kuimarisha usalama wa maelezo unayopakia kwenye mfumo huu. Hii inafanya kazi kwa kutuma namba ya uthibitisho kwa nambari ya simu unayoweka kwenye fomu hii.

Ukishapokea namba ya uthibitisho utakuwa na dakika 15 kuiingiza kwenye fomu ya kuingia.

Ikiwa utapata changamoto yoyote na huduma hii tafadhali tumia fomu ya "Wasiliana nasi" ili kumfikia msimamizi wa mfumo.

support imageGet in Touch